hakuna mahusiano kati ya bundle na mmiliki wa website,
mfano wake ni kama daladala na ada ya shule, ada zinaweza kuwa zimefutwa shule ya msingi lakini haimaanishi wanafunzi wanapanda dala dala bure. pia wapo wanafunzi wanaopewa lift hadi shule (free WiFi, internet za kugongea etc)
sababu wanafunzi wanapanda dala dala haimaanishi shule ikawakabe wenye dala dala na wao wapewe hela