Msaada Tafadhari - Sony Xperia Z1

Msaada Tafadhari - Sony Xperia Z1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,417
Kama mnavyojua akina dada na mambo ya Selfie simu inaniangusha tangu nimenunua nashindwa kujipiga Picha- Front Camera nikiset inakuwa Black tu wala haionyeshi chochote

wataalam nisaidieni please

Ijumaa Njema
 
Yangu ilifanya kama hivyo nikabandua nailoni zote, sasa hivi nafaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom