Naomba mnisaidie kuweza kuondoa hii tangazo linalotokea ambalo linaplay ikionesha mapishi, inakula MB zangu na sijui niligusa kitu gani mpaka ikawa hivi!
Ni tangazo la MAYAGO ambalo chini yake limeandikwa ADS NOT BY THIS SITE, please nisaidieni wadau hili tangazo liweze kutoka mie nimeshindwa kabisa!