Pole kwa majukumu wakuu nilikuwa natumia laptop yangu aina ya hp 650 nikaiacha kwa mda kidogo nilivyorudi nimeikuta sleep mode nilipojaribu kubofya ili niendelee na issue zangu imekataa na kila nikizima na kuwasha inarudi sleep mode..msaada juu ya hili tatizo tafadhari.
natumia microsoft windows 7 mkuu..ntaiwashaje kwa safe mode mkuu,nikiwasha inawaka (dimlight) kwenye sehemu ya switch on,caps lock,na f12 .kwenye screen haidisplay kitu
natumia microsoft windows 7 mkuu..ntaiwashaje kwa safe mode mkuu,nikiwasha inawaka (dimlight) kwenye sehemu ya switch on,caps lock,na f12 .kwenye screen haidisplay kitu