Msaada tafadhari Gari yangu haishuki Mlima.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhari Gari yangu haishuki Mlima....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kakamukubwa, Sep 5, 2012.

 1. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Gari yangu ina matatizo gani inapanda kitonga yote bila tatizo ila kushuka ndo isue haishuki kbs..Gea haziingii,inakuwa haina nguvu.
  Gari yangu ni mgongo wa chura
   
 2. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  inaonekana haina service na ni gari ya zamani ipeleke kwa Dr manyuki.. wa Katavi
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  tumia Mkuyati itashuka tu
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  oga maji ya baridi.maumivu yakizidi mwone daktari.
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  aah!..
  simple...unaitaji ubustiwe tu kidogo!
  na izo ndio kazi zangu...uko wap?
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  :target:
   
Loading...