James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
wadau heshima kwenu,
nimepokea email toka nacte ikinitaka ni upload full diploma transcript wakat mwanzo nili upload,je kuna tatizo endapo nita upload tena au kuna mtu ilishawah kumtokea hii?best solution ni nin?tafadhar kama una idea nisaidie