Msaada Tafadhalini Vyuo vya Mifugo(LITA)

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,664
6,033
Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar

Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - B
Yaliyobaki yote kapata "E"
 
Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar

Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - D
Yaliyobaki yote kapata "F"
Saizi maombi yanatumwa moja kwa moja chuoni hivo ni kutafuta masanduku ya posta ya vyuo vya Lita kama vile, mpwapwa, Tengeru, Buhuri, Morogoro nk.
Namba hii ni ya mwalimu wa lita morogoro 0755506555 labda unaweza kupata unachotaka
 
Asante mkuu, hebu niwasilianenae
 
Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar

Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - D
Yaliyobaki yote kapata "F"

Kwa matokeo hayo, hakika nduguyo " amejichagua mwenyewe". Pamoja na kuwasiliana na huyo mwalimu kama ulivyopewa namba na mdau hapo juu, uwe unatembelea website ya wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi maana fomu zq maombi huwa zinapatikana huko (kwa sasa bado hawajaziweka hadi Mara ya mwisho nilivyoangalia). Kila la heri kwako na kwa mtaalam mtarajiwa wa mifugo.
 
Shukrani mkuu, mungu atajaaliaH na malengo ya dogo yatatimia
 
Ooh no, Device ninayoitumia inakwama Ku upload, hebu pita kwenye website ya wizara ya kilimo utakuta mambo hadharani
 
Mkuu, wizara ya kilimo naona wamerelease form za vyuo vya kilimo tu ( MATIs) na sio vyuo vya mifugo (LITAs)
 
Sawa ila nilijaribu kukwambia tu si vyema kumtaja binamu ilhali mhusika ni wew kumbuka sijamuongelea bashite ila umemtumia kupotezea tu
sawa master ila hawa madogo ni wetu so hatuna budi kuwasaidia kwa kila hali na mali..
ndo maana tunaangaika namna hii
 
Back
Top Bottom