Kozi nzuri ya kusoma

Kozi nzuri ya kusoma

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
66
Reaction score
36
Habari gani wakuu, nimehitimu kidato Cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni Kama hiv; Chem=C, Bios=C, Geog=C, Engl=D. Maths=D, Hist=C, phsics sikusoma ila Cha ajabu ni kuwa nimechaguliwa HKL ilhali niliitaji kupiga CBG, hivyo Sasa Nina mpango wa kwenda chuo na kupiga kozi inayoendana na ufaulu wangu, naombeni msaada nisomee kozi gani tafadhali. Shukran
 
Kiswahili una ngap
 
1. Animal scince and production , wanahitaji Pass tatu za chemistry, Geography, Math, Physic or ( A pass in Biology is compulsory) hichi kigezo unacho chuo ni vya LITI mfano Tengeru, SUA
2. Agriculture general , wanahitaji pass tatu tu including Biology, chemistry, Maths, Nutrion, Geograph or English
vyuo vikk vingi mfan Ilonga-Kilosa,
 
Vp mkuu kuhusu vyuo vya afya nahitaji kupiga diploma in PHARMACEUTICAL science inaezekana au, na ni chuo gani ya serikali inafaa, shukran
 
1.Muhimbili ila competition ni kubwa uwe umefaulu vizuri masomo yako ya science
2. KCMC napo unaweza omba
 
Back
Top Bottom