Msaada juu ya kombi ya kusoma

Diallo genius

Member
Sep 11, 2017
80
64
Naombeni msaada jamani comb gani mngenishauri kusoma nilianza kufanya mtihani wa QT 2019 then mwaka jana nikafanya CSEE 2020 Mungu amesaidia nina Dvn 1:12 lakini natamani kusoma CBG advance nipeni ushauri kwa ufaulu huu naweza kusoma CBG mbali na Hiyo ni comb gani mngenishauri nisome kutokana na ufaulh wangu.

Matokeo ni haya hapa.
Civ 'B' Hist 'A' Geo 'B' kisw 'A' eng 'A' literature in Eng 'B' phy 'F' chem 'D' Bios 'C' B/Maths 'F'.

Nasubiri mrejesho nategemea nitashauriwa vizuri asanteni.
 
Sawa kaka lakini je, kwa ufaulu huo CBG inawezekana?
Mambo yanachanganya sana.
Waraka wa mwaka 2015 (Kama sijakosea mwaka) ulisema ili mtahiniwa afanye mtihani wa kidato cha sita, ni lazima awe na credits kweny masomo yake yote matatu. (Credit maana yake A, B au C)

Sasa sijui kwa sasa mambo yakoje, maana nchi hii inategemea wale jamaa wameamkaje
 
Sawa kaka shukran sana
 
Sawa kaka lakini je, kwa ufaulu huo CBG inawezekana?
Unasoma cbg vizuri, lakini naona ukipangwa hgl au hkl. Ila unaweza wahi ukabadili combination.

Unamatokeo mazuri lakini mabaya . Ukikataliwa kubadili komaa na hgl chuo upige law. maana hiyo cbg kwa sasa haina ishu saana,
 
Sawa sawa kaka nashukuru kwa ushauri
 
Nakushauri nenda hge hutajuta hiyo cbg sikushauri kwa sababu maksi zako zinaonekana ni za kubahatisha ili hayo masomo mengine umefanya vzr ushauri nenda hge au hgl kwa sababu hizi comb possibility ya kupiga one Tena unayo sikushauri cbg kwa sababu usipokazana Sana kwenye comb utajikuta umeangukia kwenye three au two ya 12 mwisho wa siku uanze kujuta
 
HGE wakati ana F ya hesabu. BAM atawezana nayo ??
 
Nakushauri nenda hge hutajuta hiyo cbg sikushauri kwa sababu maksi zako zinaonekana ni za kubahatisha ili hayo masomo mengine umefanya vzr ushauri nenda hge au hgl kwa sababu hizi comb possibility ya kupiga one Tena unayo sikushauri cbg kwa sababu usipokazana Sana kwenye comb utajikuta umeangukia kwenye three au two ya 12 mwisho wa siku uanze kujuta
Basi nichukue HGL maana HGE siwez nina F ya maths
 
Kama unavyosema HGE huiwezi kwa sababu ya BAM pia CBG hutaiweza maana nako kuna BAM hivyo we kapige HGL au HKL kama unataka uje soma sheria chuoni basi soma HKL hapo uhakika wa kupata division one kali upo.
 
Nenda hge haijalishi ina math kapige hivyo hivyo mm Kuna jamaa zangu olevo walipata f ya math advance wakaenda hge japokuwa iliwapa shida kidogo lakin wlipambana wakapata d zao sasa hivi chuo wanafurahia course zao chengine bam ni math ya olevo yote unataka uniambie ww olevo ulikuwa unaapata ziro math nenda kasome hge pambana usiigope bam mm nimesoma hgl lakini Kuna kipindi najuta kwa nn sikusoma hge kwa sababu wakati najiandikisha advance nilijaza hge lakini baadaye nikakimbia nikaenda hgl baada ya kusikia hge Kuna bam lakini nilivyokuwa nawaona wana wa hge na wenyew bam hamna kitu wanalalamika balaa bam advance ni somo la ziada tu Kama gs Kuna kipindi nasikia waliacha kupiga penat mm navyojua wanaangalia comb yako imebebwa na masomo nenda hge usiiogope bam dg ukisema uikimbie bam utajuta kwa sababu siku hz Hadi vyuoni kusoma hesabu ni lazima kwa Kila course yaani namaanisha lazima utakutana na masomo ambayo Yana uhesabu ndani yake kwa hiyo Anza kuandaa misingi mapema nenda hge kwa sababu hge inauwanja mpana kidogo kwenye uchaguz wa course vyuoni tofauti na hgl,hgk na hkl njoo pm nikushaur vzr
 
Back
Top Bottom