dimaa JF-Expert Member Jul 30, 2016 4,143 5,610 Jun 11, 2017 #1 Habari zenu, Kama kuna mtu anakifahamu chuo cha maktaba bagamoyo na anamawasialiano ya hiki chuo naomba anisaidie. Au kama applications zishaanza anijuze . Almaarufu ( slads).
Habari zenu, Kama kuna mtu anakifahamu chuo cha maktaba bagamoyo na anamawasialiano ya hiki chuo naomba anisaidie. Au kama applications zishaanza anijuze . Almaarufu ( slads).
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,010 28,111 Jun 11, 2017 #2 UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA
dimaa JF-Expert Member Jul 30, 2016 4,143 5,610 Jun 11, 2017 Thread starter #4 Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand... Mkuu namba za ofisi nilizipata baada ya kugugo, lakini hawapokei simu, ningempata mtu mhusika ingekuwa vizuri zaidi Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand...
Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand... Mkuu namba za ofisi nilizipata baada ya kugugo, lakini hawapokei simu, ningempata mtu mhusika ingekuwa vizuri zaidi Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand...
dimaa JF-Expert Member Jul 30, 2016 4,143 5,610 Jun 11, 2017 Thread starter #5 Joseverest said: Google chap unapata Click to expand... Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi
Joseverest said: Google chap unapata Click to expand... Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,526 70,657 Jun 11, 2017 #6 dimaa said: Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi Click to expand... sawa mkuu
dimaa said: Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi Click to expand... sawa mkuu