ibrahim chisanga Member Joined Sep 27, 2015 Posts 83 Reaction score 15 Oct 22, 2015 #1 Nimeibiwa simu aina ya huawei kama wiki sasa....kwa mwenye ujuz wa jinsi yq kuitafuta naomba msaada ili niipate kwani kuna jamaa alisema anaweza ila ameshindwa kwa hyo naomba msaada wenu
Nimeibiwa simu aina ya huawei kama wiki sasa....kwa mwenye ujuz wa jinsi yq kuitafuta naomba msaada ili niipate kwani kuna jamaa alisema anaweza ila ameshindwa kwa hyo naomba msaada wenu