Msaada tafadhali

Loveness

Member
Feb 29, 2008
40
1
Habari wana jamvi.
Jamani naombeni msaada kwa mwenye uelewa, nahitaji kufuga kuku wa mayai ila eneo ninalotaka kufugia umeme bado haujafika, je naweza kutumia nishati gani mbadala.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
kuna threads nyingi za ufugaji kuku, hebu zitafute!!! utafaidi mengi sana!!
 
Sio lazima kila mfuga kuku ana umeme. Unaweza kutumia chemli na kwa kuweka joto unatumia jiko la mkaa. Unataka kufuguia sehemu gani? You may be my neighbour.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom