msaada tafadhali:

msaada tafadhali:

Iamabdul

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
72
Reaction score
27
Nilikuwa nahitaji kujua utofauti wa kingamuzi cha startime na kile cha azam katika malipo,ubora na kipi kina stesheni nyingi za tanzania pia kama hukufanikiwa kulipa mwisho wa mwezi je kingamuzi kama cha azam wanakata stesheni zote au kwa baadhi? Ni hayo tu naombeni msaada wenu
 
Back
Top Bottom