Msaada tafadhali.

Msaada tafadhali.

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Habari wakuu, nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana, tulianza penzi miaka mitano ilopita. Siku ya kwanza kukutana kimwili alifurahi nami nilifurahi pia, baada ya mwaka mmoja demu wangu akaanza kutoka nje ya mahusiano yetu. Nilimuonya sana mwishowe akajirekebisha na kuachana na yule jamaa. Wakati fulani tukiwa tunajiandaa kugegedana akaniambia kuwa mimi simtoshelezi kimapenzi kwani uume wangu ni mdogo. Sikuona tabu, nikaenda kwa wataalamu wa tiba asilia ili anipe dawa ya kunenepesha maumbile yan "uume". Nikapata dawa na ndani ya wiki moja nikawa na maumbile marefu na yaliyonenepa, kwa hali sasa akaniambia kuwa namridhisha vizuri sana, akawa kila muda anataka mchezo. Mwaka jana mwezi june, mchumba wangu huyu akapewa uhamisho kikazi kwenda shinyang, nasikia huko anaishi na mtu mwingine na nikimpigia simu ananijibu kwa jeuri na matusi tele kwamba nitamharibia ndoa yake na mumewe "mpya", hivi sasa nikimchukua demu nikakutana naye kimwili hataki kuniacha, na wengine hunipa hela kwa huduma nnayowapa. Nimechoka mateso ya hawa mabinti, naombeni msaada wa kumpata mganga mwingine ili maumbile yangu yarudi kama zamani. Mganga aliyenipa dawa mwanzo amehama pale alipokuwa, nimetafuta mawasiliano yake, nimekosa. Nisaidieni wakuu.
 
suit yourself mkuu you deserve it coz hukufikir kabla ya kutenda na tena uliona na kuamini kabisa kuwa kumgegeda mwanamke ndo sifa ya kiume na hivyo ukaamua hakuna atayekatiza mbele zako hivi hivi ukaamua uwe unawapa tiba unayoamini wewe kuwa ni tiba hiyo dawa ya hivyo sijui kama ipo mkuu labda surgery au kama ipo si ajabu ikaisha yote kama kifutio pole sana mkuu.
 
Pole sana na hongera pia kwa kupata maumbile yanayowaridhisha hali wanawake,tafuta namba za huyo mtaalamu tumtafute ili asaidie wengine pia.(Tupe namba ya huyo mtaalamu)
 
jaman jaman jaman ulimkosea sana mungu kwa kukosoa uumbaji hyo dhambi itakutesa maisha na mwisho wake ni mbaya
cjui hata nashaur nin hapo
 
Habari wakuu, nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana, tulianza penzi miaka mitano ilopita. Siku ya kwanza kukutana kimwili alifurahi nami nilifurahi pia, baada ya mwaka mmoja demu wangu akaanza kutoka nje ya mahusiano yetu. Nilimuonya sana mwishowe akajirekebisha na kuachana na yule jamaa. Wakati fulani tukiwa tunajiandaa kugegedana akaniambia kuwa mimi simtoshelezi kimapenzi kwani uume wangu ni mdogo. Sikuona tabu, nikaenda kwa wataalamu wa tiba asilia ili anipe dawa ya kunenepesha maumbile yan "uume". Nikapata dawa na ndani ya wiki moja nikawa na maumbile marefu na yaliyonenepa, kwa hali sasa akaniambia kuwa namridhisha vizuri sana, akawa kila muda anataka mchezo. Mwaka jana mwezi june, mchumba wangu huyu akapewa uhamisho kikazi kwenda shinyang, nasikia huko anaishi na mtu mwingine na nikimpigia simu ananijibu kwa jeuri na matusi tele kwamba nitamharibia ndoa yake na mumewe "mpya", hivi sasa nikimchukua demu nikakutana naye kimwili hataki kuniacha, na wengine hunipa hela kwa huduma nnayowapa. Nimechoka mateso ya hawa mabinti, naombeni msaada wa kumpata mganga mwingine ili maumbile yangu yarudi kama zamani. Mganga aliyenipa dawa mwanzo amehama pale alipokuwa, nimetafuta mawasiliano yake, nimekosa. Nisaidieni wakuu.
Pole sana Mkuu wasiliana na mimi kwanjia ya baruwa ya pepe nitakupa dawa ya kurudisha maumbile yako yawe kama zamani nitumie Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Apunguze 'head' wkt ndio engine? Hapo pagumu mkuu, MziziMkavu unaitwa huku kuna ndume mnara unaleta shida.

Sa
Vipi mkuu Jerrymsigwa Hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi. Kasi ya wanaume kujiuza inaongezeka kwa kasi sana.
 
Back
Top Bottom