PC yangu nikiweka Cd nasikia ikizunguka
but hai-play wala kuonyesha sign yoyote kama nimeweka Cd,
Inawezakuwa driver yake ime-corrupt, jaribu kwenda kwenye desktop, right click My Computer, chukuwa Manage na kisha chukuwa Device Manager kisha angalia kama ''DVD/CD-ROM Drives'' ipo kwenye list au la, kama haipo right click ''Disk Drives'' na uchaguwe ''Scan for Hardware Changes (SHC)'' mara 3 au 5 mpaka itokee DVD/CD-ROM Drives kwenye list.Then hata nikitoa Cd sioni option ya DVD player kwenye PC kama ilivyo kuwa awali...
Ni hayo tuu wana jamvi naombeni msaada.