Msaada tafadhali

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Natumia Nokia X2-01 nikitaka kudownload appliations kwenye simu inaload halafu inaniambia NO SERVICE ila nikitumia Operamin naweza kudownload music na picha bila matatizo.Inakuaje hapa?
 
umefanya configuration moja tu ya access point hujafanya ya web nenda menu then setting then configuration hapo utaona configuration za simu yako zieke kwa mtandao husika
 
Fanya set up ya internet kwenye cmu yakokama huwez wapigie ur service provider watakuunganisha
 
umefanya configuration moja tu ya access point hujafanya ya web nenda menu then setting then configuration hapo utaona configuration za simu yako zieke kwa mtandao husika

dah shukrani ndugu ngoja nifanye hivyo
 
Umefanikiwa sasa baada ya kufanya hivyo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…