Msaada tafadhali

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Habar wana MMU.

Wahenga walishasema tembea uone mengi ni kweli .
Hivi karibuni nilikutana na msichana huku ughaibuni akanivutia,then nikamfahamu stori zikaanza. Tuliongea mengi except relationships. She is real smart. Wakati najianda kufanya shamblio niliambiwa kuwa ni "lesbian". Nilikuwa dissapointed sana lakini niliamua kumpotezea na kweli nilimpotezea lakini yy alianza kulalamika sana kwa nn nampotezea,she seemed angry but I could not care.
Ilifikia kipindi akaniomba niwe mentor wake{kweli ananiamini}. kwa shingo upande nilikubali. Sasa yupo serious anataka tuwe tunakutana na kupiga story lakini mm kwa kimaadili sion kama imekaa vyema kufanya hivyo, je nifanyeje ndugu zangu?
 
Umekuwa disaapointed kwakuwa huwezi kuwa naye kimapenzi that's all. Achana maadili, hata ya kwako yako questionable. Kama huwezi kuwa na normal friendship naye, be man enough n tell her the real reason kuliko kutafuta sympathy huku!
 
Well said, thank u
 
mpe kampani km rafiki wa kawaida hayo mengine achana nayo hayakuhusu............
 
Habar wana MMU.

Wahenga walishasema tembea uone mengi ni kweli .
Hivi karibuni nilikutana na msichana huku ughaibuni akanivutia,then nikamfahamu stori zikaanza. Tuliongea mengi except relationships. She is real smart. Wakati najianda kufanya shamblio niliambiwa kuwa ni "lesbian". Nilikuwa dissapointed sana lakini niliamua kumpotezea na kweli nilimpotezea lakini yy alianza kulalamika sana kwa nn nampotezea,she seemed angry but I could not care.
Ilifikia kipindi akaniomba niwe mentor wake{kweli ananiamini}. kwa shingo upande nilikubali. Sasa yupo serious anataka tuwe tunakutana na kupiga story lakini mm kwa kimaadili sion kama imekaa vyema kufanya hivyo, je nifanyeje ndugu zangu?

Kwanini ulazimishe mahusiano ambayo moyo wako haupendezwi nayo? Hivi ni lazima uwe na urafiki naye huyo binti? Sioni sababu ya wewe kujitesa na kumtesa binti wa watu, mwambie ukweli feelings zako kwa busara. Kwa mfano, unaweza kumwambia kuwa kwa sasa uko bize kidogo na mambo labda ya shule au kitu fulani so unahisi itakuwa ngumu kuonana naye mara kwa mara na wakati huo ukaanza kuondoa ukaribu taratibu mpaka mwenyewe atazoea na kukuacha.
 
Umekuwa disaapointed kwakuwa huwezi kuwa naye kimapenzi that's all. Achana maadili, hata ya kwako yako questionable. Kama huwezi kuwa na normal friendship naye, be man enough n tell her the real reason kuliko kutafuta sympathy huku!

umesema yote, kazi ni kwake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom