ipods hutumia kitu kinaitwa *
synchronisation*. kusynchronise ni kufanya vitu viwili viwe sawa. ipod hufanya miziki yote iliyopo kwenye itunes iwe sawa nayo. hamna namna nyingine ya kuweka mziki ndani ya ipod na icheze tofauti na kutumia itunes. hivyo basi, download latest itunes
hapa, install, add music unayotaka iwe kwa ipod yako, connect chagua synchronise.