msaada tafadhali

neyl

Senior Member
Nov 23, 2011
127
19
habari, naomba msaada kwa ajuaye sheria kuhusu mambo yafuatayo
1) Kama Arbitrator kwenye labour cases ametoa award ya reinstatement employer anaruhusiwa kuomba atoe compensation instead of kumreinstate?
2) Kama labour court imetoa judgement kuwa employer amrudishe kazin employee and then employer akarefuse to follow that order what wil court do
 
Back
Top Bottom