msaada tafadhali

shirama09

Member
Apr 14, 2011
28
7
nina rafiki yangu ambaye alikuwa hajapata hedhi for two months akafanya vipimo vya pregnacy both urine and ultra sound hakuonekana na tatizo sasa ijumaa iiyopita akapata hedhi meanz she start bleeding kwanzia last week friday ila mpaka sahv haijastop...she is comfuzed hapo tatizo ninin
 
Ushauri wa uhakika ni kwamba aende akamuone Dr. wa Wanawake, yeye ndio atampa ufumbuzi wa uhakika, maana ni lazima kuna vipimo atamwandikia vya kufanya ili kupata sababu hasa ya kuacha bleed for 2 months na kuanza kupata bila kukoma for more than 5 days ambayo ni maximum kwa wanawake ku'bleed.

Huwa naogopa sana mtu anapochukulia suala la afya kuwa ni lakawiada kwa kuwa haumii au la, hivi vitu ni vidogo lakini madhara yake makubwa huja baadae e.g kama vile kuja kushindwa kupata mimba, au kupata kisha zinaharibika. The soon the better akijua tatizo hasa linalomsumbua.
 
the 1st day alivyo bleed aalibleed alot of blood hadi akawa hana nguvu. Na sahv anableed kidogo kidogo bt ts blood clots sumtymz na alivyokosa bleed for two months alipima upt ikawa positive bt ultra sound haikuonekana kitu chochote kwa tumbo
 
pengine alikuwa ni mja mzito.mimba kama ndogo,kwenye ultra sound huwa haionyeshi.ila kwenye pregnancy test huwa inaonyesha,mara nyingi,mimba ikiharibika huwa kuna blood clots.kikubwa angefanyiwa blood test kuangalia hormones,kama alikuwa mjamzito,itaonyesha.aende aonane na dokta as soon as possible.mambo ya ku bleed bleed sio mazuri
 
Mwambie aache uzembe upesi aende kwa daktari wa magonjwa ya wanawake.

Kwa maelezo yako, inaonyesha kuna abortion imetokea. Hatujui kama ni kamili (complete abortion) au si kamili (incomplete abortion). Maelezo uliyotoa hapa yanatoa mwanga mdogo japo ni wa msingi. Kama anajipenda afuate ushauri, la hajipendi aendele kukaa nyumbani; ajue atakuwa anaongeza idadi ya watu wa kutolea mifano mibaya.
 
Back
Top Bottom