Msaada tafadhali

Ontuzu

Senior Member
Jun 26, 2009
112
106
Nina tatizo kubwa sana la meno toka nikiwa mdogo nimekuwa nasumbuliwa nayo. Almost yote yameoza ila nimekuwa nikiyaziba sina raha nimeshauriwa kuwa kuna teknolojia mpya imekuja tz ukiacha ile ya zamani ambapo ungeweza kuweka meno bandia lakini kila jioni unayatoa unasafisha, hii ya sasa nimegusiwa kuwa hilo jino likishapachikwa kwenye fizi ndio moja kwa moja.

Wadau naomba mwenye ufahamu na hii teknolojia anijuze pia ni wapi naweza kuipata kwa hapa dar. natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom