Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

HOYANGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
187
Reaction score
28
Wana jf ninampango wa kununua printer kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kielimu, ila sina uzoefu!!! Kwa wazoefu, naombeni msaada wa ushauri ni printer gani ni nzuri ambayo inaweza kuscan na kuprint nakala za rangi, jeupe & nyeusi!! Na pia iwe inawezekana kuendeshwa kwa kipato cha mwanafunzi wa kitanzania!!
 
Nunua HP (inkjet)all in one Scanner, Printer and photocopy. Uzuli wa Hp printer kwasasa ni kwamba huitaji kununua Cartilage mpya just nunua wino wa ku -refill hizo cartilage. Mfano robo lita ya wino mweusi unauzwa tsh 10,000 ambapo hiyo robo lita hutoweza kumaliza kwa mwaka mzima.
 
nunua hp (inkjet)all in one scanner, printer and photocopy. Uzuli wa hp printer kwasasa ni kwamba huitaji kununua cartilage mpya just nunua wino wa ku -refill hizo cartilage. Mfano robo lita ya wino mweusi unauzwa tsh 10,000 ambapo hiyo robo lita hutoweza kumaliza kwa mwaka mzima.
asante sana mkuu!!! Nasikia kuwa hizi huwa zina namba, je inkjet haina hizo namba!!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom