Msaada Tafadhali

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,817
33,196
Tafadhali kwa yeyote anayefahamu nani ameimba nyimbo hii nimeirekodi sikubahatika kuipata yote kutoka 101.5 ...nitashukuru kwa kupata iliyokamilika, nimevutiwa sana na mpigaji wa bass na sollo gitars
 

Attachments

  • Radio 002.m4a
    1.5 MB · Views: 1
24 viewers hakuna hata mmoja anayemjua huyo mwimbaji akanisaidia!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom