Msaada Tafadhali

Maikoel

JF-Expert Member
Mar 9, 2019
220
250
Nahitaji post ya zamani humu JF. Najua kichwa cha habari chake. Je naitafuta vipi? Nianzeje kuitafuta? Mimi ni mgeni humu bado sijakuwa mzoefu .
 
Karot

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
890
1,000
Nimejaribu kuchungulia lakini sijaona post hata moja uliowahi kuandika zaidi ya hii unayoomba msaada. Labda ujaribu kutumia lile jina lingine maana hapa umechapia.
 
KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,137
2,000
Nimejaribu kuchungulia lakini sijaona post hata moja uloyowahi kuandika zaidi ya hii unayoomba msaada. Labda ujaribu kutumia lile jina lingine maana hapa umechapia.

Nafkiri hujamuelewa alichouliza aisee.

Kwanza kabisa huyu ni new member na post alizo-post mpaka nnapoandika hii comment ni post 3 tu anazo ukijumlisha na Thread 1 tu ambayo ndio hii.

Sasa anachotafuta yeye ni post ya mtu mwengine ambayo imepostiwa zamani sio post yake.

Alitakiwa aende sehemu ya ku-search aandike keywords anazotafuta kutokana na hiyo post anayosemea, lakini pia atumie filter ili ieleweke anachotafuta ni TOPIC au COMMENT/POST zitakuja nyingi then ataangalia anachokitaka. Sasa inategemea anatumia browser au app ya JF ndio mana nikamuuliza anatumia nini kuingia JF...?

Nadhani utakuwa umenielewa vizuri.
 
Nov 16, 2018
18
45

Na je ukitaka kuiyona post yako mwenyewe ya zamani unafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom