Msaada tafadhali

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
885
Reaction score
583
wapendwa naomba msaada wa namna ya kuifanya application yangu ya facebook iwe wakati naperuzi zinapoingia post mpya iwe inaonyesha pale juu.
Maana kila nikidoload naipata hii ambayo ukitaka post mpya mpaka ubonyeze ule upande wa kulia harafu uchague most recent.
Sasa hii mimi siitaki, naitaka ile ikingia hata post moja inakuonyesha pale juu( new story) .
Au kama nakosea namna ya ku-in store, msaada bandugu, bila shaka nimejieleza vya kutosha.
Shurani natanguliza[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji106]
 
sijui unachoongelea ila facebook wana apps mbili tu.
1. facebook ya kawaida
2. facebook lite.

kama una mb hapo ingia playstore download zote angalia ni ipi unayoitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…