msaada tafadhali!!

Feb 18, 2017
83
93
hivi kwamfano umehitimu chuo kikuu ukafanikiwa kupata shahada yako ya kwanza labda tuseme niya Education je inaruhusiwa labda endapo ntaamua kusoma tena masomo ya ziada ya advance kwa combination nyingne may be nilsoma pcb nkafka chuo nanataka tena nrudie nisone egm!!!hyo inaruhusiwa?????
 
Mbona nyepesi, kama lengo la EGM ili baadae uwe Mchumi/Mhasibu si unachukua Degree ya uchumi kama Postgraduate wala hakuna haja ya kurudi Advance. Mfano, Mugabe ana Degree 8 tofauti tofauti.
unaweza kusome hivyo ata kama hukusoma masomo hayo ...?
 
Back
Top Bottom