Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Joined
May 24, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Habari wakuu!
Ninamdogo wangu anasoma A-level katika shule (flani) ya serikali mkoani Mtwara anataka kuihama shule hiyo. Hii ni kwasababu anadai kuwa kuna uhaba wa walimu wa sayansi katika shule hiyo kwani anachukua comb ya CBG.
Sijajua kama ni kweli lakini sinabudi kumhamisha kama anavyodai, hivyo kwa mtu yeyote anayefahamu shule nzuri ya private ya gharama nafuu na yenye mchepuo wa sayansi katika mkoa wowote anijulishe ili ni mpeleke huko.
Natanguliza shukrani.
 
hapo tafuta MARIAN au FEZA ni nzuriii...
 
Hamna shule nzur kama mwanafunzi ni mbaya!!! Ila kama mwanafunzi ni mzur anaeza badilisha iyo shule ikawa nzur !!!!!! SAMAHAN Lakin
 
school doesn't need teachers ...it needs school uniform only...
 
Back
Top Bottom