Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Kwa anaejua kichina anisaidie,juzi kwenye pita pita zangu mitaani nikakuta nguo za mtumba zinauzwa nikanunua moja kubwa kwa lengo la kwenda Ku edit.Nilipofika home kuikagua mifukoni nikakuta coin moja ya kichina.
Hadi xx hii coin nimezhindwa kuitambua ni sh ngapi.Angalia juu nimeweka kwa frofile,main purpose nijue ni sh na thamani yake hapa bongo.
All the best your jfm.
Hadi xx hii coin nimezhindwa kuitambua ni sh ngapi.Angalia juu nimeweka kwa frofile,main purpose nijue ni sh na thamani yake hapa bongo.
All the best your jfm.