MSAADA TAFADHALI

NUHWAHI

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
305
486
mwenye kujua filamu yoyote ya hapa BONGO,..(Bongo movie) yenye viwango stahiki anitajie...haijalishi ni ya mwaka gani..

maana nilizozichek kadhaa kwa wiki hii ZIMEFELI KABISA kuakisi na kuwasilisha UJUMBE TOKA KWA JAMII...
NISAIDIENI KATIKA HILO
 
THE HOUSE OF MAGIC-kanumba
 
Hizo ndo filamu zetu mkuu..Asilimia kubwa ni magumashi..Watu hawako serious na kazi zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom