Msaada tafadhali wanaJF

Msaada tafadhali wanaJF

kijana mgumu

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
48
Reaction score
15
Habari wana JF.
Dada yangu amepigiwa simu kwa No. 0222771853 jioni ya leo akiwa anahitajika kwenye usaili utakaofanyika chuo cha Ardhi kwa post ya Assistant Accountant. Kutokana na tatizo ktk simu yake kuna maneno hakuyasikia vizuri kama tarehe ya usaili na muda. Wakati anauliza hivyo vitu simu ikakatwa. Amejaribu kupiga tena hiyo namba lkn muda wote inatumika. Kama kuna mtu aliyepigiwa simu na namba hiyo naomba atujuze.
 
Mie ilinitokea juzi kati nikiwa toilet namba fulani ya mezani,nikiitikia hallow hatuelewani hala fu lafudhi ya Kizungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom