Ozzy petty
Member
- Sep 3, 2016
- 8
- 0
Nime discontinue (disco) vipi ninaweza omba nafasi na wadogo zang kuanzia tarehe 12 .msaada ndugu zang maana nilipatwa na matatizo nikajikuta nafanya mitihani vibaya
Unaruhusiwa kuomba pia na mafogo ila sijajua mkopo unatakiwa uombe tena na ushafungwa ussajiliNime discontinue (disco) vipi ninaweza omba nafasi na wadogo zang kuanzia tarehe 12 .msaada ndugu zang maana nilipatwa na matatizo nikajikuta nafanya mitihani vibaya
Itawezekana kuapply upyaNadhani anasema kuwa amefeli kwahiyo haruhusiwi kuendelea kusoma tena chuoni hapo alipo kwa sasa, ila anauliza je inawezekana kuapply upya akasoma na watakao ingia mwaka huu first year(hao ndio wadogo zake)? Kama nimemuelewa vizuri na huo tu ndio mchango wangu kwa sasa.
LaZIMA UPATE SHONA TULIAJamani naomba kuuliza Mimi nimeomba BVM,ANIMAL SCIENCE CHUO CHA SUA PAMOJA NA COURSE NYINGINE KWA VYUO VINGINE,JE NAWEZA NIKAPATA KWA USHINDANI ULIOPO MANA NILIPATA GPA YA 4.3 ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION NA OLEVEL NILIPATA DIV 2 YA 21?
Chuo gan upo??