Msaada tafadhali wa kujifunza kiingereza

Habari zenu wana jf...
Nilikuwa naomba msaada kwa watalaam wa lugha ya kingereza kwani hivi sasa nimeanza kujifunza kiundani zaidi (i want to be deep) kwa hiyo unaweza ni-direct kwenye page /website/ YouTube channel yakuhusiana na hii issue, au kama na wewe unalengo kama langu waweza nipm ili tuyajenge..

karibuni wakuu...
Kama unajifunza taratibu basi...
You want to be DEEP or you want to get DEEP...!!?

Namimi ni mwanafunzi wa Lugha hii, ila kidogo nachanganyikiwa hapa...!!

Joseverest, we need your help pkease..!!
 
Nimecheki muvi Leo .Katika sabtaito


Stering anamuuliza jambaz "Can I ask one something?


Jambazi akajibu " Yeah shoot"

Nikarudi katika kamusi kupata tafsir ya neno SHOOT duuh!


Kuna sabtaito zingine za kimtaa

Mfano bitch=biashara ya ngada.

Kuna umuhimu wa kuchagua moving zenye lugha fasaha.
Ikabidi nifurah tu.
 
Minilikuwa napenda Sana cartoons na baadae movies..zinasaidia Sana kujifunza English.Jaribu kuangalia bila subtitles utaanza kuelewa na Ku keep up na speed ya English speakers.Unaweza pia ukaangalia news na kusoma vitabu Kama unapendelea.
YouTube angalia videos mbalimbali Kama zile za common mistakes in English utajifunza zaidi.inakubidi pia uwe mtu wa kuongea zaidi English iliyonyooka.Ukizidisha kiswanglish kuongea pure English itakuwa tatizo.Confidence ni muhimu.All the best.
 
Thank you very much for your advise
Pia unatakiwa kusema advice Kama unamaanisha ushauri yani nomino(noun) na utasema advise Kama unamaanisha tendo la kushauriwa (verb)

Mfano wa advice inapotumika;
I need your advice.
Or Thanks for your advice.

Ila advise itatumika ukisema mfano;
She advised me.
Or I will advise you about career choice.
 
Pia unatakiwa kusema advice Kama unamaanisha ushauri yani nomino(noun) na utasema advise Kama unamaanisha tendo la kushauriwa (verb)

Mfano wa advice inapotumika;
I need your advice.
Or Thanks for your advice.

Ila advise itatumika ukisema mfano;
She advised me.
Or I will advise you about career choice.
Thanks
 
Nimecheki muvi Leo .Katika sabtaito


Stering anamuuliza jambaz "Can I ask one something?


Jambazi akajibu " Yeah shoot"

Nikarudi katika kamusi kupata tafsir ya neno SHOOT....


Alimaanisha: "Yes, Ask"
 
Ni kweli alimaanisha hivyo Mkuu.


Ila vipi kuna kamusi yenye kumaanisha "yeah shoot=yes ask"?

Nahitaji kujifunza lugha hii.

Hakuna tatizo nikimjibu MTU " yeah shoot"?

Alimaanisha: "Yes, Ask"
 
Here i am your fellow English learner, let's start our free conversation in a way that we all shall realize our goal of speaking English fluently. A master let's start the mission.
OK! Thanks for accepting me Msakaa , We can start now.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom