Shuaibu yahaya
Member
- Jan 8, 2014
- 93
- 31
Heshima kwenu wakuu wote humu jamvini.
tatizo langu ni kwamba,nina mdogo wangu yuko kidato cha tatu.na maendeleo yake sio mazuri kiukwel ukilinganisha na alipokuw kidato cha kwanza.siku hizi akifundishwa anasahau mara kwa mara hata kama ni muda huohuo.tafadhal naomba msaada juu ya hili tatzo.jinsia yake ni ke.
ahsanteni,