Habari zenu wa jf naomb msaada wenu kwa anaejua au mwenye idea yoyote nina tatizo la kuumwa kichwa sio chote ni mishipa ya pembeni karibia na masikio inakaza na kuvuta sana inatokea sana nikiwa stressed nishamuona dokta nikapewa miwani bt hali bdo 2 naomb msaada madaktari wa jf