Samsung S6 Edge T-mobile

luha

Member
Oct 29, 2011
20
1
Habari!!
Nina Samsung Galaxy S6-Edge ya T-mobile ghafla tu ikanipa error kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.

Nikajaribu kugoogle hilo tatizo nikaona kuna kuiflash nikafanya inamaliza lakini kila ikiwaka inarudi hapo hapo, Mwenye uelewa na hilo msaada wake jaman

Natanguliza shukraniđź‘Ź

s6.jpg
 
Ukipenda kitonga ndio madhara yake hayo,T mobile ni kampuni ina simu mbovu hatari sio software sio hardware kote majanga

Sent using IPhone X
 
Kwanza angalia kama imei number na serial number kama zipo kweny about phone kisha status,hapo angalia serial number zipo? Pia angalia imei information ,imei ipoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan huwez Ingia Ndan ya Simu Ukiwasha ikimaliza ile logo ya t-mobile na samsung inaishia hapo kwenye hyo error
 
Sasa hapo njia ya kwanza unatakiwa uflash 4 files ,, ikigoma njia ya uhakika ni unatakiwa uroot simu,uandike imei,upatch certificate kisha unlock

Hiyo ya kuflash kwa 4 files ntajaribu ila hyo kuroot na kuandika imei na kupatch certificate sijaielewa kabsa mkuu
samahan lkn bob
 
Ukipenda kitonga ndio madhara yake hayo,T mobile ni kampuni ina simu mbovu hatari sio software sio hardware kote majanga

Sent using IPhone X

Acha Kidanganya Watu Mzee. Tmobile Ni Moja ya Kampuni ya Mtandao Mkubwa Duniani. Hata Unlocking Service za Tmobile ni Server/Credits based hvyo ni Expensive Ukilinganisha na Mitandao Mingine. Inakupasa pia Ujue Kuwa Cmu zote za Tmobile huwa ni GSM/WCDMA tofauti na mamitandao ya Kijinga Kama Sprint na Verizon ambao cmu zao huwa ni CDMA ambapo huwa ni shida kuzitumia kwa baadhi ya nchi.
Hyo Ni Software crash tu na anaweza fix simply kwa Kufanya Firmware Update.
Cmu Ngapi Za Tmobile Uliwahi kutumia ukaconfirm kuwa cmu zao ni mbovu?
 
Ni kweli T-mobile ni Gsm ila nao wana majanga yao, band yao ya 3g ni 1700 ambayo wanaimiliki wao tu. Simu zao ndio zile zikija huku zinashika E tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom