Msaada tafadhali:rolling ball ya brackberry 8320bold. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali:rolling ball ya brackberry 8320bold.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Thinker96, Mar 3, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu tafadhalini naombeni msaada rolling ball ya blackberry niliyoitaja hapo juu rolling ball yake haiendi chini inaenda kulia na kushoto kwa hiyo nashindwa kuelewa nifanyeje,nimefumbwa macho nawategemeeni nyie...natanguliza shukrani kwenu.
   
 2. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Mkuu inaitwa Trackball. Km unaweza ichomoe na uangalie km ina uchafu then safisha..km huwezi mpeleke fundi akurekebishie au anaweza kukushauri ununue trackball nyingine coz zinauzwa. BB zenye trackball huo ndo ugonjwa wake mkubwa that's why jamaa wakaamua kutoa BB zenye sensor.
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu nenda youtube kuna video zinaelekeza vizuri jinsi ya kuifungua na kuisafisha track ball za bb Kama mtundu kidogo utaweza kama huwezi peleka kwa fundi au nunu track ball nyingine Natumia simu siwezi kukupa link
   
 4. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nashukuru mkuu kwa maelezo na kunielewesha jina lake nimeliname kwa vile naliona nashukuru sana mkuu
   
 5. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nashukuru sana mkuu kwa maelezo yako nataman sana ungenitumia link,lakini cna shaka na ujuzi wako shukran
   
Loading...