Msaada tafadhali: Printer imebadili speed ya kuprint! Nifanyeje?

Msaada tafadhali: Printer imebadili speed ya kuprint! Nifanyeje?

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
281
Mwanzo ilikuwa ina speed nzuri sana. Lakini siku moja nikaona inaprint slow kupita kiasi. Page moja inaweza kuchukua hata nusu saa hivi! Na haijarecover tangu wakati huo!

Aina ni HP photosmart Plus.

Nini ufumbuzi wa tatizo hili?
 
Wakati mwingine inaweza kuchukua hata zaidi ya nusu saa kuprint kazi ndogo tu kwa kutumia program ya publisher!
 
Na bahati mbaya nasikia aina hii ya printer hakuna head za kubadili ikiwa head yako imearibika
 
Back
Top Bottom