Msaada tafadhali, ndugu yangu analewa sana

Msaada tafadhali, ndugu yangu analewa sana

Mental hospital? Duh

Inaonekana ana addiction ya pombe mkuu. He needs some counseling
Naomba nijazie hapo mkuu..[emoji120]
Inawezekana huyo ndugu amekua mlevi sana kwasababu ya stress za kukosa kazi, maisha kumkata ngwala tofauti na ndoto zake, kuamini/ kuhisia kama ndugu wanamdharau kwakua hana ajira na mambo mengine kama hizo.
Sasa huyo ndugu amekua mlevi wa kupindikia kutokana na msongo wa mawazo.
NIVEMA AKAPELEKWA KWA MTAALAMU WA MAGONJWA YA AKILI kabla ndugu mlevi hajakua kichaa
 
Msimtaftie kazi wala nn hyo ni chizi karogwa tena
Akili kama hizi niliziona kipindi kileeee wakatu tuna hamishiwa kwenye vijiji vya ijumaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Naomba nijazie hapo mkuu..[emoji120]
Inawezekana huyo ndugu amekua mlevi sana kwasababu ya stress za kukosa kazi, maisha kumkata ngwala tofauti na ndoto zake, kuamini/ kuhisia kama ndugu wanamdharau kwakua hana ajira na mambo mengine kama hizo.
Sasa huyo ndugu amekua mlevi wa kupindikia kutokana na msongo wa mawazo.
NIVEMA AKAPELEKWA KWA MTAALAMU WA MAGONJWA YA AKILI kabla ndugu mlevi hajakua kichaa

si wazo baya mkuu, lakini mi naona kumpeleka huko ni hatua kubwa sana.. yaani ni kama timu itoke hatua ya makundi iende straight mpaka semi finals, aanze hatua ya chini, counselor mwenyewe akiona maji marefu, yeye mwenyewe atakushauri uende hatua ya juu..
 
1. Poleni sana mkuu.

2. Hela za kunywea anapata wapi wakati hana kazi? Ondoeni chanzo cha hela za kunywea pombe kama mnakijua right away. Kama hamjui anakopata hela tafuteni hiyo source ili mkate huo mrija. Hata kama ni offers!

3. Kama itawezekana mbadilishieni mazingira ikiwa ni pamoja na kutafuta sababu ya kum-distruct na marafiki wake walevi.

4. Mtafutieni kazi. Inawezekana kuwa kwake jobless ndio chanzo cha yeye kuwa mlevi kupindukia. Anajiona failure. He may be depressed.

5. Anaonekana ana addiction ya pombe. He is abusing it. Kumpatia counselling ili apunguze na hatimaye kuacha kabisa itakuwa intervention muhimu sana katika kumsaidia huyo ndugu yako.

6. Msimtenge. Onyesheni kuwa mna mjali na kumsapoti ili aondokane na tatizo la ulevi.

7. All the best
Asante sana mkuu
 
Capt.PNG
Hana mke mchumba hatujui
kuna jamaa yangu kaandika hiki kitabu. kinaweza kumsaidia.
 
Back
Top Bottom