Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,418
Wakuu habari,
Naomba mnisaidie, nafanya malipo Loan Board ktk control number niliyopewa tangu juzi ila inanijibu kuwa, huduma hii haipatikani kwa sasa.
Na nimejaribu kulipa kwa tigo, voda, Airtel zinanipa majibu hayo. Nimewapigia wanasema niwasiliane na bodi ya mikopo. Nikipiga bodi ya mikopo hawapokei.
Je hili ni jambo majumui kwa wote au ni kwangu tu?
Nijuzeni km kuna msaada niweze kukamilisha wakuu