Msaada tafadhali - namna ya kuweka link


Thanks very much
 
Asanteni jamani nimefurahiiiii kuona kumbe kuna kitu na mimi nilikua najua wenzangu hawajui, na nimewaeleza hadi wameelewa.
Leo na mimi nimeonekana mjanja JF... :lol:
Hakuna mtu mweupe kwa kila kitu, ndio maana hata huo ushungi uliopiga wewe wajua mie sijui hebu nao nipe link yake ili nijidai.
 
Ngoja kwanza nikapunguze' stresi' pale kituo cha mabasi Mwenge,nikirudi itakuwa BOFYA HAPA,PITIA HAPA,SOMA HAPA,ANGALIA KULEEEEE bonge la shule ni buure kama sekondari za kata a.k.a sekondari za EL
 
asante.maana mimi najua link kwa simu tu.juzi nimeshindwa kumuwekea mtu link humu ikanibidi nitoke kwanza nilogin kwa simu ndiyo niweke link na kurudi kwenye computer.
HAPA

Hello Habari?
Kwa simu Hii kitu unaifanya Vip? Mpaka inakuwa Gonga hapa Hebu nipe huo ujuzi! Kwa njia ya simu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…