Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Nenda mahakamani ukafungue shauri la kuomba talaka. Ila hakikisha unazo sababu za kuishawishi mahakama kwamba ndoa yako imefikia kiwango ambacho haiweza kurekebishika (irepairable damage). Vinginevyo utapoteza kesi na jamaa atakucheka.
Halafu ukumbuke kuwa mali zote mlizochuma mkiwa wanandoa (zako na zake) mnagawana pasu kwa pasu. Kama uko tayari, basi tafuta wanasheria na keshokutwa shauri linafunguliwa mahakamani!
Nilishaondokaga kipindi fulani for a week alihaha na kutumia njia zote nikarudi. Nikimuacha najua itakuwa vilevile atanirudisha, note anajeuri ya pesa. Nataka njia ambayo yeye ndo aniambie ondoa nyumbani kwangu au aniambie sikutaka tena au aniambie kuanzia sasa wewe si mke wangu. Means asihangaike kunifata na kutaka nirudi tuishi wote.Angalia episodes kadhaa za Snapped: Women who kill, unaweza pata some great ideas. I'm just playing.
On a serious note; kwanini unazungumzia kuachika, na sio kumuacha?
Nilishaondokaga kipindi fulani for a week alihaha na kutumia njia zote nikarudi. Nikimuacha najua itakuwa vilevile atanirudisha, note anajeuri ya pesa. Nataka njia ambayo yeye ndo aniambie ondoa nyumbani kwangu au aniambie sikutaka tena au aniambie kuanzia sasa wewe si mke wangu. Means asihangaike kunifata na kutaka nirudi tuishi wote.
Na hii itokee bila mimi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine, Bila kumfanyia visa anavonifanyia wala sitaki tugombane.
Kama ni njia au jinsi iwe moja yaani nikifanya hivo yeye mwenyewe aseme basi ondoka sio nifanye mlolongo wa visa.
Am totally fed up.

Jeuri yake ya pesa inahusika vipi na mahusiano yenu?
Na mtu anakuchoka vipi sasa bila visa?
But anyway, here's the plan. Jaribu kuwa mlokole, unashinda kanisani kila siku. Siku ambazo yuko home, waalike wapendwa mnene zile scripted languages. Akivumilia hayo, baki tu. Good luck.
Hapo kwenye pasu kwa pasu, mimi hua nakua mpole sana.
Nenda mahakamani ukafungue shauri la kuomba talaka. Ila hakikisha unazo sababu za kuishawishi mahakama kwamba ndoa yako imefikia kiwango ambacho haiweza kurekebishika (irepairable damage). Vinginevyo utapoteza kesi na jamaa atakucheka.
Halafu ukumbuke kuwa mali zote mlizochuma mkiwa wanandoa (zako na zake) mnagawana pasu kwa pasu. Kama uko tayari, basi tafuta wanasheria na keshokutwa shauri linafunguliwa mahakamani!
Asante sana nashuhulikia hilo la ulokole