abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Naomba mwenye kujua mahala pa kushusha ma-series ya ki-korea anijuze. Nakumbuka kuna member aliwahi kupost hiyo link na kama sikosei na software ya kushusha madude haya lakini kwa bahati mbaya siwezi ku-access post hiyo kwani ni kipindi kirefu kimepita. Nasubiri majibu wakuu.