Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
- Thread starter
- #41


heshima kwa mama alikulea vyema japo hyo style yake ni tata , nayeye dushe kalijulia chuo kabla ya hapo hakuwai kutumia Sent using Jamii Forums mobile app


heshima kwa mama alikulea vyema japo hyo style yake ni tata , nayeye dushe kalijulia chuo kabla ya hapo hakuwai kutumia Sawa mkuuIkiwa wewe humuelewi na ndiye mhusika moja kwa moja, sisi tusiohusika tutamuelewaje?
sasa sisi tufanyaje??Habari za wakati huu wakuu ,moja kwa moja niende kwenye jambo linalontatiza, nina mpenzi wangu mwanachuo kila ikikaribia likizo arudi kwao ataki tufanye mapenzi kwa sababu ambazo binafsi sidhani kama huwa ipo ivo .
Ananiambia hawezi/hataki kwa sababu akifanya mapenzi siku mbili kabla ya kwenda kwao akifika mama yake atajua kilichofanyika .
Sijui kama kuna ukweli juu ya hili wakuu au ndio napigwa chenga ya mwili.?? Nifanyaje kuibadilisha hii hali nmeshajaribu kumuelewesha bado hanielewi..nifanyaje wakuu???
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia kusoma kama hutoelewa cha kufanya basisasa sisi tufanyaje??
comment kama hii nilikuwa naitafuta siku nyingi wewe hupendi kufanya mapenzi ila unapenda kila siku nikusaidie je wewe nafaidika na nini kwenye nahusiano yangu na wewe maana utelezi hunipi na bado unaniambia tusubiri wakati mimi kila siku unaniomba hela kama kufanya ngono unaona tusubir basi na swala la pesa lisubir



hapo vipi mdada