Msaada tafadhali (Mod hii thiridi naomba usimove)

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Salaaam kwa wote wanaJF.
Leo nimepewa penzi lakini kilichonishangaza baada tu ya kuanza kulila mashine(M.b.o.o.) yangu ikawa imetulia tuliii wala haikutaka kujua kinachoedelea. Kiufupi ilala na kujipumzisha kabisaaa sasa najiuliza nini tatizo maana kabla ya hapo ilikuwa imewaka paaa tena kwa nguvu sana! Nilishangaa shangaa tu kwa kweli kuna mengi na hisi japo sina huakika nayo kama ni kweli yanaweza kawa ni chanzo. Nisaidieni
1. Nilikuwa na njaa maana toka hasubuhi nilikuwa sjanywa hata chai yenyewe..
2. Ilikuwa haraka hara sana maana mwenye kunipa alikuwa anataka kuwahi
3. Nipeni ushauri nifanyeje hapa kama sio haya hapa juu
 
Kwani Mod alikwambia anataka kuitoa?

Au hata wewe mwenyewe umejishtukia ni pumba nini ukajua ataiondoa.

Uliza tu utajibiwa kwa adabu acha kutanguliza mikwara.
 
Okoka,mpe Yesu maisha yako na uache uzinzi.
Siku nyingne italala jumla na haitasimama tena.
 
kwel, kama cvyo basi gal was -ve H.I.V, Mungu kakuokoa, dnt turn back kwake.

ulikuwa unamaanisha +HIV au? Maana km ni -HIV haina shida. Ila awe makini cku nyingine, Mungu kamuepusha na kitu.
 
Tatizo lako ni njaa wala sio kitu kingine,next time kula ushibe milo yote sio kutokula hafu unataka game utafia kifuani au usipige kabisa
 
Salaaam kwa wote wanaJF.
Leo nimepewa penzi lakini kilichonishangaza baada tu ya kuanza kulila mashine(M.b.o.o.) yangu ikawa imetulia tuliii wala haikutaka kujua kinachoedelea. Kiufupi ilala na kujipumzisha kabisaaa sasa najiuliza nini tatizo maana kabla ya hapo ilikuwa imewaka paaa tena kwa nguvu sana! Nilishangaa shangaa tu kwa kweli kuna mengi na hisi japo sina huakika nayo kama ni kweli yanaweza kawa ni chanzo. Nisaidieni
1. Nilikuwa na njaa maana toka hasubuhi nilikuwa sjanywa hata chai yenyewe..
2. Ilikuwa haraka hara sana maana mwenye kunipa alikuwa anataka kuwahi
3. Nipeni ushauri nifanyeje hapa kama sio haya hapa juu

Ni presha tu hiyo, mtafute tena! lakini sio kwa ku do but kuwa naye karibu, mzoee halafu ukiridhika tafuta room......
 
Usiwe na papara mno mambo haya inabidi utulie, tuliza mawazo mkuu panga siku nyingine hule tunda lake kwa muda muafaka.
 
haaaaa pole sana usiwe na papara katika mambo hayo
 
Tatizo lako ni njaa wala sio kitu kingine,next time kula ushibe milo yote sio kutokula hafu unataka game utafia kifuani au usipige kabisa

lazima maana imeshanitokeaga tena hii ishu wakati flani nikiwa na njaa hivyo hivyo.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom