Sapraiz gani unaaga unaenda kigoma kusoma halaf unaonekana kwenye TV na mawigi yako. hii post nimeandika kwa hasira kweli
watu tunachanganyikiwa maisha magumu ye anachanganyikiwa na mapenz? Hata hvyo wana miaka 4 hajamchoka tu.
Dah! Sapraiz gani hii ya kumfanyia mtu dadangu?Labda alitaka iwe sapraiz.....
Hahahahaha!
Sapraiz gan Lizzy, haya sasa mpenziwe anakarbia kupata kisukari
Ni yupi, kati ya hawa, kabla sijatoa ushauri wangu? lol
sapraizi zina sheria zake bana! haya mambo mengine msiwe mnatuiga sisi bila kuelewa mantiki yake.Sasa angemwambia ingekuaje sapraiz?!?!Ni kama yale yale ya uko wapi...niko njiani naelekea nyumbani kumbe nipo mlangoni kwako!
Afu ushahidi haujafa sasa!..lolatakuwa huyo wa mbele, si unaona kanyoa upara kuuwa ushahidi.
sapraizi zina sheria zake bana! haya mambo mengine msiwe mnatuiga sisi bila kuelewa mantiki yake.
Kiukweli huyu jamaa anatia huruma! Natamani ningejua walipo watoa huduma ya ushauri nimwambie aende huko apate msaada wa kimawazo. Ebu nisaidieni majina ya vituo kama hivi, nikamwambiemedy hujawahi patwa na maumivu ya mapenzi? Usiombe ndugu yangu yakukute.
Hahahahahaha!...Sapraiz ya ukweli hiyo mpendwa....kama ni mimi wakati najua ndo kipindi kinaanza ningentext nimwambie kabisa chungulia channel flani....
sisi hollywood. Nitaanzisa sred special ya mtiririko wa kusapraiz. mimi nina hakika huyu jamaa hasira zake alivunja TV na usikute TV yenyewe alikuwa anaangalia kwa jirani. khaaa!Tunawaiga nyie kina nani???!Wazungu!?
Hao ndio wake zetu wa 22nd century. Mbona wenye mioyo midogo tutakiona!
Kabla hajaenda kwenye ushauri, akae na huyo mpenzi wake kwanza amwulize sababu, yawezekana hakuwa na nia mbaya. Anachanganyikiwa nini wkt hajamwuliza mwenzi wake??Kiukweli huyu jamaa anatia huruma! Natamani ningejua walipo watoa huduma ya ushauri nimwambie aende huko apate msaada wa kimawazo. Ebu nisaidieni majina ya vituo kama hivi, nikamwambie
Huyo mdada wenyewe alipoulizwa kaleta stori gani?kwenye hii line hayupo,
jamaa ameamua kukaa kimya mpaka mashindano yaishe wikendi ijayo, ndo aongee nae kwani kwasasa hataki kuongea muda mrefu kwani yuko bize na kambi Golden TulipHuyo mdada wenyewe alipoulizwa kaleta stori gani?
Mkuu hiyo anayofanya itamuathiri zaidi, mwambie awasiliane nae bila kuonesha hisia kali kwa mdada, halaf ajifanye kumwambia "honey! nimekuona kwenye TV" kwa staili ya joke, ikisha aangalie reaction ya mdada. baada ya hapo anaweza akajenga ukimya mpaka hapo mashindano yatakapoisha next week. Huo mzigo alionao moyoni sasa hivi inabidi aupunguze uzito kwa mawasiliano.jamaa ameamua kukaa kimya mpaka mashindano yaishe wikendi ijayo, ndo aongee nae kwani kwasasa hataki kuongea muda mrefu kwani yuko bize na kambi Golden Tulip
kwenye hii line hayupo,
pouwa Mkuu, nitamweleza ingawa alichonieleza leo ni kuwa kila anapompigia ikitokea akapokea hataki kuongea hata dk 2. Pia kakataa akamtembelee kambini hapo hoteliniMkuu hiyo anayofanya itamuathiri zaidi, mwambie awasiliane nae bila kuonesha hisia kali kwa mdada, halaf ajifanye kumwambia "honey! nimekuona kwenye TV" kwa staili ya joke, ikisha aangalie reaction ya mdada. baada ya hapo anaweza akajenga ukimya mpaka hapo mashindano yatakapoisha next week. Huo mzigo alionao moyoni sasa hivi inabidi aupunguze uzito kwa mawasiliano.
Wanawake bana! :behindsofa: