Pole mkuu, mchomoe huko kwa kumpeleka maombi kila wakati, familia mfunge na kusali, muandie misa kila mwezi. Huenda hata yeye alijipata tu yupo huko kwa kulazimishwa.
Kuna Kanisa unalifanyia promo kwa kumdhalilisha mama yako? acheni tamaa ya hela... haya twambie ni mchungaji gani ili twende tukatoe sadaka..... maana sasa mmeweka pesa mbele utu nyuma..... siku hizi wachungaji wanatembea na bastola uwiiiii