Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,063
- 3,630
Ushauri kama huu ni wa kuufumbia macho yani kwa kikristo we fanya ku turn a blind eye maana huyu muuaji.Maelekezo ya MUNGU kwa Musa "Usimwache mwanamke mchawi kuishi"
Timiza wajibu wako haraka.
Mmmmh!!!!!!!!!! siamini hata kidogo, akulee toka unavaa nepi hadi ufikie kujitegemea ndio ujue ni mchawi, nina mashaka hata na hilo kanisa aliloangukia, siku hizi kuna watumishi niwachonganishi na wanaogofya watu kisaikolojia kiasi yeye akianza kuuliza mtu anabaki anajibu kila kitu ndio.
Kama kweli usemayo Utakumbuka maneno yangu siku moja, ila kama ni changamsha genge hujamtendea haki mama yako.
Usimuache mtu mchawi aishii....angekua wa ukoo wetu tungeshamchoma sindano ya sumu....
unaeza kumuua mamako??
Au hii reply ulimjibu mleta mada ukiwa high?
Amekuambia amekiri mwenyewe, unaanza kushuku kazi iliyomleta Kristo msalabani!
Celebrate your African heritages you lost souls.