Natumia iyo aina ya simu niliyo itaja apo but nashindwa kuelewa ina tatizo gani kila ninapo taka ku download applications mbali mbali inaniambia "there is insufficient space on ur divice error downloading"but ata application zilizopo ni chache tuuu na hata external memory card ipo ni 4gb but haitaki lu download kwa nn
nimewahi hata ku fanya restoration but tatizo bado lipo kwa mwenye uelewa tafadhali
Shukurani kwenu
Fanya haya mabadiliko katika storage, kisha jaribu kufanya download tena.Natumia iyo aina ya simu niliyo itaja apo but nashindwa kuelewa ina tatizo gani kila ninapo taka ku download applications mbali mbali inaniambia "there is insufficient space on ur divice error downloading"but ata application zilizopo ni chache tuuu na hata external memory card ipo ni 4gb but haitaki lu download kwa nn
nimewahi hata ku fanya restoration but tatizo bado lipo kwa mwenye uelewa tafadhali
Shukurani kwenu
Natumia iyo aina ya simu niliyo itaja apo but nashindwa kuelewa ina tatizo gani kila ninapo taka ku download applications mbali mbali inaniambia "there is insufficient space on ur divice error downloading"but ata application zilizopo ni chache tuuu na hata external memory card ipo ni 4gb but haitaki lu download kwa nn
nimewahi hata ku fanya restoration but tatizo bado lipo kwa mwenye uelewa tafadhali
Shukurani kwenu
memory card haikusaidii kitu kama unasave vitu kwenye internal memory, nenda setting halafu storage iache simu iprocess kidogo utaona jinsi internal memory ilivytoliwa na vitu mbali mbali, angalia una free memory kiasi gani then fanya mopango wa kuhamisha vitu kama video, audio na picha toka internal memory hadi kwenye memory card.

Afu hata ivo internal memory card haina vitu kabisa zaid ya apps chache nilizoweka lakin ndo kama ivo bado inazingua et
mkuu nimekwambia uangalie hivyo sababu nilitaka majibu ya uhakika, unaweza sema internal memory haina kitu kumbe imejaa, ni nadra sana kwa simu kudanganya mara nyingi ni sisi wenyewe ndio tunajichanganya. umeangalia? mb ngapi zipo free?
Used 855 free 155
so ina maana hio simu ina gb 1 tu anayoachiwa mtumiaji? mwl rct yako pia ipo hv?
simu nyingi storage ikifika chini ya 10% haikubali kueka app tena.
angalia sehemu ya video na picha hapo hapo kama zipo hamisha peleka kwenye sd card

kinachojaza memory ya hii simu ni cache, ukifungua app nyingi inasababisha memory kubwa kwenda, ukishikilia button ya upande wa kulia mbele ( return , home , na hii ya kulia ndio naizungumzia) itakuletea list ya app ambazo zimefunguliwa, pia kwenye app settings ukiangalia app kama facebook zinamaliza kabisa memory ya simu, jaribu ku clear
hiz sim za huawei y530 memory anayoachiwa mtumiaji n kma 1.8 gb sasa hzo application znazokuja kwenye sim zpo ambazo znachukua sehem kubwa ya memory kma utaziapdate au kuztumia, kama chrome browser heb uniinstal updates kwenye hiyo mm hyo ndo ilikuw inazngua, kuna baadh ya app znatumia nafas kubwa we unaweza kuw n application chache ila znakula nafas kubwa inabid uwe unaclear data ila usije kuforce stop wala kudisable maana app zngine ztamisbehave