Jayspeed
Senior Member
- Feb 23, 2014
- 156
- 168
Simu yangu ya huawei ascend g730 ilianguka ikazima nikawa naitumia kawaida tu siku ya siku nikawa nikiweka chaji inaniandikia error! Please plug out charger..nkanunua betri jipya lakini wapi tatizo linaendelea .yoyote mwenye utaalamu na hili naomba anisaidie tafadhali