Elisha MKUU possible
Nikusaidie kunadada wa prec aliibiwa simu january krkoo,,simu aliyonayo akiingizalineyake anaona anaeitumia akishtuka wanabadili namba...siku yasiku akaja kuinunua bosimkubwa tu wa kampuni moja airport...kutakakukujuza hili huyu dada kablayakumvaa boss aliniomba ushauri....mbayazaidi alikuwa anauwezowakuingia mpaka kwenye picha zayule boss akiwa na simu nyingine...tikaona makubwa namengine ayasemeki tukamuingia alipokataa tukaomba polisi...kilichofanyika aliingiza paswword yaile simu ilioibiwa kwenye simuyake na kuanzakuwaonyesha polisi hii sio pichazako...mzee aliomba waingie watatu vyumbani qkaombayaishe